Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akijibu swali kuhusu picha iliyomuonyesha akiagana na mwanamke wa kizungu na kuzua maswali kuhusu mke wake #Clouds360