Toptube Video Search EngineTitle:Killy - Mwisho (Official Music Video)
Duration:03:33
Viewed:3,539,432
Published:09-07-2021
Source:Youtube

Mwisho is a Swahili Word in English Means (It’s Over) is a song that talks about relationships that have challenges in it that comes from a woman I loved and that woman has another relationships. Song was produced by Neksazy Download/Stream In All Digital Platforms https://smartklix.com/Mwisho-SinglebyKILLY Follow Killy Instagram: https://www.instagram.com/Officialkilly_tz/ Twitter: Facebook: Listen to Killy YouTube: https://www.youtube.com/c/Officialkilly/ Audiomack: https://audiomack.com/officialkilly Apple Music : https://music.apple.com/us/artist/killy/1491771802 Spotify : https://open.spotify.com/artist/6YXrbHy6Fah1970m8C8BXK Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/5886964?from=search&sr Deezer: https://www.deezer.com/us/artist/135212232 The official YouTube channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: bookkilly@gmai.com Call: Lyrics verse 1: ukweli mama unauficha tena unaniruka kando usijitetee,ajali kila kukicha x wako yanamtoka mafumbo ili unipotee, kweli mnatumiana picha tena anakuunganisha bundle ili mnitetee ndo maana havikauki visa au labda nijirudishe jando nkajitetee (aaaah) kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita, umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita, nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita chorus: hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh (lololo aah...!!) yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh (tusiendelee aah....!!!) basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii.. verse 2: maumivu moyo wangu una maumivu uuuh vidonda (aaah aaaah aaah aaaaaah) mwili umepatwa na uvivu penzi limegeuka majivu uuuh nahisi kukonda (aaah aaaah aaaaaah) (iyee eeh eyeeeh aah..!!) eti tufe tuzikwe wote yani hukudhamiria chochote nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbieeee nakuridhisha ma nakupa vyote kweli nahudumia cha wote basi we batili batili picha zisinirudieee ooh bebe kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita, umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita, nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita chorus: hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh (lololo aah...!!) yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh (tusiendelee aah....!!!) basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii.. #Killy #MwishoSHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :