Toptube Video Search Engine



Title:KIFO Cha MTOTO wa BAKHRESA / RAIS MWINYI Afika Kwenye DUA / FAMILIA Yaongea MAZITO!
Duration:04:11
Viewed:46,095
Published:30-12-2022
Source:Youtube

Familia ya Ukoo wa Bakhresa imemuomba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi kupitia vyombo vyake vya ulinzi kumtafuta na kumkamata mtuhumiwa anaedaiwa kuhusika na tukio la kumchoma kitu kinachosadikiwa kuwa ni kisu Bwana Salum Ahmed Salum Bakhresa na kusabibisha umauti wake wakati akipatiwa matibabu Afrika Kusini Ombi hilo limetolewa na mmoja ya wanafamilia wa ukoo wa Bakhresa Shekh Mohammed Omar katika kisomo maalum cha dua kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi katika Msikiti wa Mchangani uliopo Mjini Unguja Shekh Omar amesema wanaamini kuwa vyombo vya ulinzi vitalisamimia vyema jambo hilo la kuhakikisha wanamkamata muhusika wa tukio hilo KIFO Cha MTOTO wa BAKHRESA / RAIS MWINYI Afika Kwenye DUA / FAMILIA Yaongea MAZITO! WATCH WASAFI TVπŸ“Ί AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM πŸ“» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI πŸ“» | 104.1 DODOMA πŸ“» | 94.5 ARUSHA πŸ“» | 97.3 MBEYA πŸ“» | 94.9 MWANZA πŸ“» | SHINYANGA 106.3 πŸ“» | KIGOMA 101.7 πŸ“» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2021 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm



SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :