Toptube Video Search EngineTitle:Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu
Duration:08:17
Viewed:5,980,686
Published:15-12-2023
Source:Youtube

Follow Israel Mbonyi at https://israelmbonyi.com https://instagram.com/israelmbonyi https://facebook.com/israelmbonyii https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Information : Info@israelmbonyi.com Bookings : Booking@israelmbonyi.com Prayer Request : Prayer@israelmbonyi.com Testimony : Testimony@israelmbonyi.com Malengo ________ Verse 1 Atakaye kuwa na wema Ahitajie kuheshimiwa Basi aende ayatafute kwa kutenda mema bila kusita Asiyajali macho ya watu Maana yao sio muhimu Bali ajali jina nimuitalo Kwani mi ni Mungu aliyemuumba Chorus Ninayajua yangu malengo Ni mema sio mabaya Ili niwape matumaini ya siku zijazo Nawapenda Wambieni wenye huzuni Tulizeni wenye majelaha Wambieni waje waone Tuna Mungu mwingi wa upendo Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa Katuosha na kutusafisha Akatuahidi uzima wa milele Verse 2 Simameni kwenye mnara, usubiri ntakacho kisema Zizuieni sauti za muovu Na upende kuwa mwenye haki Nenda omba tena uombe Tofautisha kuomba kwako, Maana hapo nitakuokoa Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yakoSHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :