Toptube Video Search Engine



Title:Agape Gospel Band - Bwana ni Mchungaji Wangu ( Official Music Video )
Duration:09:44
Viewed:117,551
Published:05-05-2024
Source:Youtube

Zaburi 23:1-2,4,6 [1]BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. [2]Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. [4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. [6]Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.



SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :