Toptube Video Search EngineTitle:Yanga na ratiba kamili ya sherehe za ubingwa; Kamwe atangaza Gamondi Day
Duration:57:11
Viewed:13,110
Published:20-05-2024
Source:Youtube

YANGA PRESS | RASMI!! #Wananchi #YangaSC watakabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 Mei 25, 2025 kwenye mechi yao dhidi ya Tabora United itakayochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe leo amezungumza na wanahabari kuhusu utaratibu wa sherehe za ubingwa wa #NBCPremierLeague Siku hiyo milango itafunguliwa saa 5 asubuhi, na mechi itaambatana na kila aina ya burudani ikiwemo muziki.... Kamwe pia ameitangaza pia mechi yao dhidi ya Dodoma Jiji kuwa ni maalum kwa ajili ya kulishukuru benchi la ufundi na wameipa jina la #GamondiDay Sikiliza hapa kila kitu alichozungumza Kamwe katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika leo mei 20, 2025SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :