Toptube Video Search Engine



Title:BBC AFRICA EYE: Safari ya kumtafuta baba yangu mzazi
Duration:27:46
Viewed:3,874
Published:11-10-2022
Source:Youtube

Nchini Kenya, zaidi ya theluthi moja ya watu hukua katika familia za mzazi mmoja. BBC Africa Eye imefuatilia safari ya kibinafsi ya mwanahabari Namukabo Werungah, ambaye hajawahi kumjua babake na ameamua kutafuta sehemu hii ya utambulisho wake. Hajui ikiwa yu hai au amekufa, lakini harusi yake inakaribia, ameamua kuwa ni wakati wa kujua historia yake. Je, atampata mwanaume ambaye alitakiwa kumwita baba? Na ikiwa atafanya hivyo, atamtaka maishani mwake? #bbcswahili #bbcafricaeye #kenya



SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :