Toptube Video Search EngineTitle:Alikiba: Mfalme huwa mmoja tu labda afe, Mi Sio Tembo, Mi ni KING, Nafuga Wanyama
Duration:45:18
Viewed:0
Published:26-10-2021
Source:Youtube

Alikiba ameizungumzia album yake mpya 'Only One King' Kufanya kazi na Patoranking, Tanasha Dona, Wizkid, Davido na kautaja wimbo wake pendwa kwenye album yake, 'MFALME Huwa ni mmoja tu, Labda Afe' ameongea King Kiba kwenye interview hii. Tuache kumpenda Ali, tukupende wewe? Kujiita majina ya wanyama, Mi sio Tembo (Nafunga wanyama) Tazama full interview ya King Kiba kwenye Swahili Radio Podcast, kujua mengi, Ameongelea pia ukaribu wake na Ommy Dimpoz, Wema Sepetu na swala la kufanya muziki wa AMAPIANO 'Sifanyi muziki wa trend, Nitaufanya bora zaidi' ushauri wake kwa wasanii wa Bongo Fleva 'Tuache kumpenda Ali, tukupende wewe kwa sababu una style kama yake' Muziki pesa yake iko mbali sana, Utapoteza mabilioni! 'Mke wangu na familia yangu inanisapoti vizuri sana' 'Sitaki anaenichukia anichukie zaidi, sitaki anayenipenda nikamkwaza' #LilOmmy #Alikiba #Podcast #SwahiliRadio Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy https://mobile.facebook.com/lilommyfanpage https://lilommy.com/SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :