Toptube Video Search Engine



Title:Waliketi Chini || Katani West Church Choir || @perfectmediake (0790067206)
Duration:06:04
Viewed:370,387
Published:30-06-2023
Source:Youtube

Find attached the lyrics of this beautiful song; STANZA 1 Waliketi chini kwa fikara wakawaza je tuzidi dumu kwa ukame Bethlehemu au tutoke jawabu tuendeni Moabu je ni kitu kipi ni Cha faida huku chakula kweli duni hawana subira ya kustahimili magumu. CHORUS: Na wakaandamana kwenda familia ya Elimeleki hawakujua kwamba heri kufa nja nyumbani Bethlehemu kwenye Mungu yuko wakapiga hatua moja hatua mbili mbele mbele hadi ugenini ni dhahiri Moabu si nyumbani kwetu. STANZA 2 Tabia na hulka zile za kibinadamu hatuchunguzi uvumi wa kushiba kwao wale wa Moabu piga hesabu mara mbili tutaweza imbaje wimbo wa kifalme kule ugenini haiwezekani Bethlehemu mimi sitoki



SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :