Toptube Video Search Engine



Title:HARMONIZE Alivyomshukuru DIAMOND Mbele ya RAIS MAGUFULI IKULU DODOMA "NASHUKURU KAKA YANGU DIAMOND"
Duration:13:08
Viewed:231,238
Published:12-07-2020
Source:Youtube

AMSHUKURU @DIAMONDPLATNUMZ MBELE YA RAIS MAGUFULI Rais wa Kondegan @harmonize_tz alitumia nafasi aliyopewa kutumbuiza mbele ya Rais Magufuli Ikulu Dodoma kumshukuru Boss wake wa zamani @diamondplatnumz kwa kumshika mkono kumtoa kwenye jina la Rajabu mpaka sasa Mataifa yanamjua kwa jina la @harmonize_tz Harmonize alitoa shukrani hizo wakati akimtambulisha msanii wake wa kwanza kwenye lebo yake ya muziki ya #KondeMusicWorldWide @ibraah_tz ........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com ----------------------------------------------------------------------------------- #HARMONIZE #DIAMONDPLATNUMZ



SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :