Toptube Video Search EngineTitle:Harmonize - Sijui (Official Lyrics Video)
Duration:03:22
Viewed:653,349
Published:23-11-2023
Source:Youtube

Harmonize - Sijui (Official Lyrics Video) Listen to Visit Bongo (Album): https://ziiki.media/VisitBongo-Harmonize Harmonize's "Visit Bongo" is a musical journey that fuses Bongo Flava, Afrobeat, and Amapiano, celebrating our collective growth and life's ups and downs. With two special collaborations featuring South African songstress Nkosazana Daughter and Rwanda’s Bruce Melodie, it's a reminder to be proud of ourselves and savor life's milestones. And to visit Tanzania and explore the wildlife and beautiful culture. Join us on this unique celebration! Harmonize - Visit Bongo (Album Tracklist) 01. Harmonize - Personal trainer 02. Harmonize - Hallelujah 03. Harmonize - Best Woman (Mama Song) 04. Harmonize - Side Nigga 05. Harmonize - Sijalewa 06. Harmonize - Boss 07. Harmonize - Wangu mimi 08. Harmonize x Bruce Melodie - Zanzibar 09. Harmonize - Sijui 10. Harmonize - Tena 11. Harmonize - Hawaniwezi 12. Harmonize - Dear X 13. Harmonize x Nkosazana Daughter - Single again 14. Harmonize - Single again YouTube Album Playlist: https://www.youtube.com/playlist?list=PLCPw4Yltn5M4qba8MAtuJkpQkQftWA3sI Subscribe for more official content from Harmonize: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/ Follow Harmonize Instagram: https://www.instagram.com/harmonize_tz/ Twitter: https://twitter.com/harmonize_tz Facebook: https://web.facebook.com/Harmonize255 TikTok: https://vm.tiktok.com/JYFv7PN/ Listen to Harmonize YouTube: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/ Audiomack: https://audiomack.com/harmonize Apple Music : https://music.apple.com/tz/artist/harmonize/81714549 Spotify : https://open.spotify.com/artist/1eCaedusgydlcn69blHOvL Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/artist/760746 The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Harmonizemanagement@gmail.com Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762 Harmonize - Sijui (Lyrics) Konde boy call me number one Bakhresaaa Mmmh Picha na tattoo nitazifuta na kama pesa nitatafuta vipi kuhusu upendo wangu wa dhati wambea kama nawaona wakinisuta kiko wapi yamemkuta pindi nitakapokuwa sio tena wako wa dhati (Mmmh) mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tanga nahisi wanakosea babe wangu wanamuonea (babe) Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kulia Kuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzako nikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia (me na wewe) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no (Nasema sijui iih) Mfano naweza namuachia nani (Yeyeyee) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani (Sijui kama ntaweeeza) Mfano naweza namuachia nani (iih iiih iiiih) It feels like am falling love for the first time am never seen love this before yes for sure (Mmmh) Cough Yupo wapi yupo wapi mzuri wakumshinda babe wangu yuko wapi Ooh yupo wapi anaejua thamani ya pendo langu yupo wapi Nauliza yupo wapi ama mimi nimeshadate na wangapi yupo wapi Ooh yupo wapi yupo wapi nimuone anaenijua mimi hakuna Wengi wanakuja kunichuna wakijua kwamba pesa hakuna mara watanuna na kisa hakuna mape mapeenzi mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tanga nahisi wanakosea babe wangu wanamuonea (babe) Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kulia Kuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzako nikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia (me na wewe) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no (Nasema sijui iih) Mfano naweza namuachia nani (Yeyeyee) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani (Sijui kama ntaweeeza) Mfano naweza namuachia nani (iih iiih iiiih) It feels like am falling love for the first time am never seen love this before yes for sure #Harmonize #Sijui #VisitBongo #KondegangSHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :