Toptube Video Search Engine



Title:Henrick Mruma - Nataka Nitulie (Official Music Video)
Duration:06:55
Viewed:79,877
Published:09-02-2020
Source:Youtube

#NatakaNitulie #Nikikuamini #Nikikusubiri #Maombi Nataka Nitulie is a song of prayer to God, A prayer in the seasons of unanswered questions and waiting for the things that we need in our lives as we have no guarantee of their occurrence to our lives and not knowing how long will it take for us to wait until we get them and if they will bring joy and breakthrough in our lives. So in this song, We declare the faith we have for God as we relax and be still and knowing that God is faithful and whole for He will give us all the answers according to the time that He sees right for us. It won't matter how long that we have to wait but a long as we trust JESUS, WE WILL RELAX. Join with me in this prayer song of life. Nataka Nitulie ni wimbo wa maombi kwa Mungu, Maombi katika nyakati ambazo tunakuwa na maswali mengi ambayo hatuna majibu yake na tunasubiri mambo ambayo tunayahitaji kwenye maisha huku tukiwa hatujui itatuchukua muda gani hadi tuyapate na kama ni kweli yataleta furaha na upenyo kwenye maisha yetu. Katika wimbo huu tunakiri kumuamini Mungu huku tukitulia na kujua kwamba Yeye ni Mwaminifu na Mkamilifu na atatupa majibu kulingana na muda ambao Anaona kwamba ni sahihi kwetu. Haitajalisha tutasubiri kwa muda gani, Ila kwa kuwa tunamuamini YESU, TUTATULIA. Ungana nami kwenye wimbo huu wa Maisha. ISAYA 40:31 Singer/Song writer: HENRICK MRUMA Audio Producer: JUSTIN RIDER (RIDER RECORDS) LEAD GUITAR: NAHUM GIDEON BASS GUITAR: AMOS BEVIN AUXILIARIES: JOHN NTETE Video Director: YOTHAM LYOBHA Vocal Arranger: HENRICK MRUMA Back Vocals: Soprano and Alto: PRAISE GAMUYA, GLADNESS SIYAME and DORCAS AUGUSTINO. Tenor: BESTER ALBERT Video Cast: VICTOR, ANNA, JANETH, NANCY and JACKLINE. Istagram: @henrick_mruma Facebook: Henrick Mruma Contacts: 0744 417 141 Email: henrickmruma@gmail.com



SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :