Toptube Video Search EngineTitle:Simba yaunguruma Dodoma, yaipiga 4-0 JKT Tanzania; Tazama highlights - VPL 04/10/2020
Duration:20:11
Viewed:337,600
Published:04-10-2020
Source:Youtube

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC, wameishushia kipigo cha mabao 4-0 timu ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Medie Kagere amefunga magoli mawili huku mengine yakifungwa na Chris Mugalu na Luis Miquissone. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tzSHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :