Toptube Video Search EngineTitle:Rabi James-Muathirika sio muhalifu
Duration:03:46
Viewed:227
Published:06-06-2019
Source:Youtube

Habari Jina langu naitwa james victor chilumba,ni msanii mchenguaji (MC) ninayeishi ndani ya misingi na utamaduni wa hiphop.jina langu la kisanaa naitwa RABI JAMES. Mimi ni miongoni mwa vijana wanaoishi kwenye mitaa ambayo imeathirika kwa kiasi kikubwa kwa matumizi ya dawa za kulevya, mateja wamekua wengi mno. Watu wengi wamekua wahalifu kutokana na matumizi ya dawa za kulevya,baadhi yao wameshapoteza maisha na wengine kuingia katika majanga ya kutisha kutoka na utumiaji wa dawa hizo Kwakua mimi ni msanii, ninafanya sanaa ya muziki,nimeona nitumie sanaa ilikutoa funzo kwa jamii yangu Wajue ni jinsi gani ya kuishi na waathirika na ni jinsi gani waweze kuwasaidia kutoka katika dimbwi la matumizi ya dawa za kulevya,kuliko kuendelea kuwadharau na kuwacheka,jamii iweze kuwa karibu nao na kuwashauri mambo ambayo yanaweza kuwasaidia kujitoa katika matumizi ya hayo.SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :