Cheki hii ya Hekima Kwaya uone jinsi walivyomuabudu Mungu katika Kanisa la Moravian Ushirika wa Uhuru, Hakika Mungu alitukuzwa na kuabudiwa