Toptube Video Search EngineTitle:POLISI 5 WAUAWA, WENGINE WAJERUHIWA VIBAYA WAKIFYATULIANA RISASI NA MAGAIDI..
Duration:02:33
Viewed:849
Published:09-08-2022
Source:Youtube

POLISI 5 WAUAWA, WENGINE WAJERUHIWA VIBAYA WAKIFYATULIANA RISASI NA MAGAIDI.. Polisi watano wa Mali wameuawa na washambuliaji wasiojulikana katika maeneo yaliyopo Kusini Mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa hiyo imeongeza kuwa shambulio hilo limesababisha polisi mmoja alijeruhiwa na wengine watatu walitoweka sehemu ambazo bado hazijajulikana. Jeshi la Polisi la Mali limetoa taarifa hiyo na kueleza kwamba tukio hilo limetokea jana Jumapili huku jeshi hilo likidai kudhibiti shambulio tofauti la wanamgambo wa Kiislamu wa maeneo hayo. Idara ya Polisi imesema kuwa kikosi cha kituo cha Polisi cha Sona kilikanyaga bomu na ufyatuaji risasi mkali wa risasi ulitekelezwa na washambuliaji ambao bado hawajajulikana. Shambulio hilo lilifanyika katika eneo la Koutiala lililopo kwenye Mji wa Sona uliopo karibu na mpaka wa kati ya Mali na Burkina Faso. Kwa mujibu wa afisa wa eneo hilo ambaye ametoa sharti la kutokutajwa jina lake amedai kuwa washambuliaji hao ni magaidi. Mali inakabiliwa na uasi wa muda mrefu wa wanamgambo wa kiislamu ambao umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kulazimisha wengine kuhama makazi yao.... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonlineSHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :