Home / Video /
HEKIMA CHOIR: Nikikumbuka msalabani
Title
:
HEKIMA CHOIR: Nikikumbuka msalabani
Duration
:
04:01
Viewed
:
1,596
Published
:
16-08-2016
Source
:
Youtube
Nikikumbuka msalabani ni wimbo unaoelezea kuhusu kifo cha bwana wetu Yesu Kristo, ilihuzunisha sana kwani Yesu aliamua kufa kwa ajili ya dhambi zetu sisi wanadamu. Barikiwa unaposikiliza nyimbo hii