Toptube Video Search EngineTitle:Tabora United 2-0 Biashara United | Highlights | Mechi ya Mtoano 16/06/2024
Duration:10:51
Viewed:21,216
Published:16-06-2024
Source:Youtube

PLAY OFFS | Magoli mawili ya Patrick Lembo yameibakiza Tabora United Ligi Kuu ya NBC kwa ushindi wa jumla (aggregate) wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United. Tabora wameshinda 2-0 kwenye mchezo wa marudiano uliopigwa leo Ali Hassan Mwinyi Stadium Tabora, baada ya kupoteza kwa bao 1-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa mapema wiki hii mjini Musoma. Kwa matokeo haya, Biashara United itaendelea kusalia ChampionshipSHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :