WIMBO: Kiu ya Nafsi
MTUNZI: Giulio Mukaathe
ALBUM: Kiu Ya Nafsi
KWAYA: Mama Maria Kikao cha Hekima-- Masinde Muliro University of Science and Technology (MMUST - Kakamega Kenya)
Music Notes: https://www.swahilimusicnotes.com/wimbo/kiu-ya-nafsi/36832
Lyrics
1.Mimi mtumishi wako nisikilize,Bwana wewe wanijua kuliko wote,misukosuko yanisonga (Mimi) ni dhaifu Bwana (Mungu) ninakulilia unisikilize
Kiitikio
Nafsi yangu (inavyokutamani) --(inakutamani) Roho yangu yaona kiu kama Ayala mwenye kiu ya maji.
2.Nyimbo nimeimba Bwana na tenzi tele,masomo yangu pia kazi yote ni bure,nahisi utupu wa Roho (nawe),uko mbali nami (Leo) ninakulilia unisikilize
πWatch Other Songs from our 'KIU YA NAFSI' Album:π
Amani ya Moyo na Fortune Shimanyi π https://www.youtube.com/watch?v=gldtPgzUO3A
Siku Mpya na CY Luseba π https://www.youtube.com/watch?v=CGSMJgyKyAw
Kiu ya Nafsi na Giulio Mukaathe π https://www.youtube.com/watch?v=qKMwrxLLqV4
Naomba Hekima na J. Zungumawe πhttps://www.youtube.com/watch?v=6eZ4uJgoBxU
Kelele Za Shangwe na Paul Mose π https://www.youtube.com/watch?v=ShYd80kmhMc
Kanisa la Bwana na Giulio Mukaathe π https://www.youtube.com/watch?v=kSyQWG8JzIY
Tafadhali Subscribe
Like,
Comment,
Share.
Be Blessed.
#kiuyanafsi #kmkmakuburi #tanganyikaproductions #rajoproductions