Toptube Video Search Engine



Title:Chege Ft Roma : WIPER | Official Video
Duration:03:18
Viewed:961,494
Published:03-09-2019
Source:Youtube

Ziiki Media's latest home production #Wiper is here, sung by Chege Chigunda featuring Roma, produced by Mr. T Touch. Stream on: Smart URL: https://backl.ink/37902577 Tidal: https://listen.tidal.com/album/115234685/track/115234686 Google Play: https://play.google.com/store/music/album?id=Bgnp7y7zkkajej4ohwctfvpfble&tid=song-Tiulunvf4kow3neu7an4i4mrima Amazon Music: https://music.amazon.com/albums/B07WCP9W4R?ref=dm_sh_1a44-d10a-dmcp-7034-505cc&musicTerritory=US&marketplaceId=ATVPDKIKX0DER iTunes: https://music.apple.com/in/album/wiper-feat-roma-single/1476242233 Apple Music: https://music.apple.com/in/album/wiper-feat-roma-single/1476242233?i=1476242233 Spotify: http://open.spotify.com/album/0LmA0RdiTEehP2xdqIirUQ Deezer: http://www.deezer.com/album/107161872 Channel Managed & Marketed by Ziiki Media!! Subscribe us for unlimited entertainment http://www.youtube.com/user/mziikitube Let's connect on social media: Facebook: https://www.facebook.com/mziiki Twitter: https://twitter.com/Mziiki Instagram: https://www.instagram.com/mziiki Song Lyrics: Intro: Here's another one Wiper x10 Chrous: Starehe kila kukicha, ayayayayaya Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper Verse 1; Chege Kwenye beat mi napita kama babylon Niko chicha mita mia mbele mi sioni Hizi hisia za ki-Ras toka magetoni Nimesizi mpaka bebe kali sizioni Kwani mko wapi si tuko huku tunakula starehe Vua mpaka shati kwa mizuka kupanda tuchonge kiparty (just like that) Tukitimba kaa mbali we, kaa mbali eh eh eh Tukiwaka kaa mbali we, eeh (chicha) eh eh eh eh eh eh Chrous: Starehe kila kukicha, ayayayayaya Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper Verse 2: ROMA Ukishafika umri wa balehe ndio wakati wa starehe So macho kwenye calendar tunacheki tarehe za mshahara kisha tuianze sherehe, love kama wavuta sigara sio chuki kama wyre wanalaana kama hawana wazazi hawa watoto na leo wamekutana na mvunja nazi kwa ugoko ukidaka pisi kanyaga, si mafisi hatunaga akishatupanda ibilisi hatuchagui pa kumwaga yani aah eeh, kama wiper ni Roma na baba Jada yani shaaaa kama wiper madem nawazoom zoom nawalenga kama sniper wakimwaga sum tu wanajua mi ndo titan sa ona nishawaka waka na bado mapema nasaka saka sioni baby naona tu masinema na takataka na muwe na siku njema nishalewa nyaka nyaka Chrous: Starehe kila kukicha, ayayayayaya Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper Wiper eeh, Wiper aah Kabla hujaniwasha najiwasha kama lighter Wiper eeh, Wiper aah Toto kali, ndinga kali tena laki titan Shawty, come close to me Shawty, njoo niplease na me Shawty, shika glass ya wine Shawty, yani kuku na maini Chrous: Starehe kila kukicha, ayayayayaya Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper Aah eeh, kama wiper #Wiper #Chege #Roma #ZiikiMedia



SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :