Toptube Video Search EngineTitle:Rais wa Yanga awaanika wote waliohusika Kitabu cha Historia ya Yanga
Duration:09:39
Viewed:5,734
Published:15-06-2024
Source:Youtube

UZINDUZI WA KITABU YANGA | “….Mkwasa ndiye mtu pekee ambaye ameshawahi kuwa mchezaji wa Yanga, akawa nahodha wa Yanga, akawa kocha msaidizi wa Yanga, akawa kocha wa Yanga, na akawa katibu wa Yanga”. Rais wa Yanga SC, Hesri Said anagusia kidogo historia kisha anaeleza kwa ufupi mchakato mzima wa maandalizi ya kitabu hicho pamoja na kuwatambulisha wote waliohusika kuanzia kamati iliyokuwa chini ya Mudhihiri Mudhihiri, waandishi hadi wahariri…… Ni uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE #AzamSports2HD #YangaSC #UzinduziKitabuYanga #Kitabu #KitabuChaHistoriaYangaSHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :