Toptube Video Search EngineTitle:"Simba ni timu tishio" - Ally Kamwe aunguruma kuelekea Kariakoo Derby Aprili 20, 2024 (Full Press)
Duration:31:30
Viewed:7,143
Published:15-04-2024
Source:Youtube

YANGA VS SIMBA: Ni mkutano wa kwanza na wanahabari kuelekea mechi ya watani wa jadi yanga vs Simba akiunguruma Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe...... Kamwe ameisifia Simba akitaja mambo matatu yanayowafanya kuiheshimu..... Ameeleza sababu ni kwanini Kariakoo Derby inashika nafasi ya tatu kwa ubora Afrika.....Asema mechi wamewapa wazee wao kwa jina la "Wazee day',........Atoa onyo kwa mashabiki wa Simba wanaopanga kutoingia dimbani..... Sikiliza mwanzo hadi mwinsho....SHARE TO YOUR FRIENDS


Download Server 1


DOWNLOAD MP4

Download Server 2


DOWNLOAD MP4

Alternative Download :